BREAKING NUUUUUZ: LORI LA MAFUTA LADONDOKA MTELEMKO WA MBALIZI MBEYA MUDA HUU.
Picha ya Mlima Mbalizi
Live!
Kwa
Taarifa Tulizo pokea sasa kutoka mlima wa Mbalizi zinasema kwamba kuna
Lori la mafuta limedondoka muda huu na kusababisa watu waanze kuyachota
mafuta hayo bila kujali kama Linaweza kulipuka.
Timu ya Mtandao ipo eneo Hilo kwa sasa... taarifainakuja endelea kusomaa
No comments:
Post a Comment