Pages

Wednesday, 19 June 2013

MHE. DKT MERRY MWANJELWA ATOA MADA JUU YA KUMWEZESHA MWANAMKE

Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa -MB Viti Maalum Mkoa wa Mbeya, atoa mada juu ya kumwezesha mwanamke na uongozi katika maamuzi kwenye Bunge la ACP-EU Women Forum Brussels-Belgium

Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa -MB Viti Maalum Mkoa wa Mbeya, akitoa mada juu ya kumwezesha mwanamke na uongozi katika maamuzi kwenye Bunge la ACP-EU Women Forum Brussels-Belgium Jumamosi tarehe 15/6/2013

No comments:

Post a Comment