Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akizungumza na Mhariri wa Jukwaa la Wahariri na Mhariri Mtendaji
wa New Habari (2006) Ltd, Absalom Kibanda, wakati alipofika Ofisini kwa
Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 10, 2013 kwa mazungumzo.
Kibanda alimtembelea Mhe. Makamu ili kumwelezea hali yake kiafya
inavyoendelea baada ya matibabu. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment